Kuwa makini na watu hawa Katika maisha yako
1. Usikae na watu wanaokudharau.
2. Usikae na watu ambao hawathamini utu wako
3. Usikae na watu ambao malengo yao ni kwa faida yao tu
4. Usikae na watu ambao hawataki kusherehekea hatua zako ndogo za maendeleo.
5. Wasengenyaji