Maisha yetu ni kuitafuta maana. Maana ya uwepo wetu duniani, maana ya hatma yetu duniani, maana ya masuala mengine kama rizki, mapenzi na furaha, hali kadhalika, maana ya kukosa na maana ya kupata. Maana ndio masumbuko yetu makuu na wanaotupa maana wanayakamilisha maisha yetu!"