Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jiweke mbali na watu ambao wao maisha yao wanajali kuhusu madaraka, mali, husda, roho mbaya, chuki na kejeli. Wakaribishe karibu watu ambao maisha yao wanajali kuhusu utu wa mtu, heshima, roho nzuri na kuridhika.”
 
Njia bora ya kuishi maisha yenye furaha na amani ni kuwapenda familia yako na wazazi wako.
 
Daima uwe tayari kuishi peke yako. Baadhi ya watu hubadilika ghafla. Leo wewe ni muhimu kwao kesho wewe si kitu kwao na hayo ndiyo maisha halisi.”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…