Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwenye Haya Maisha Jitahidi Sana Kuwa Na Stara Ya Maneno Yako Pamoja Na Mipaka Ya Usiri Wa Mafanikio Yako, Sio Kila Unaecheka Nae Ni Mwema, Sikuizi Imekuwa Ngumu Sana Kuwamtambua Wema Kwetu.
 
Unaweza kufunga mdomo wako kwa vitu ambavyo ume visikia lakini kamwe huwezi kufunga moyo wako kuto kuhisi maumivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…