myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
AiseeMtu sahihi anapokuja kwenye maisha yako hakikisha unampa kile kilicho sahihi, kilicho sahihi ndicho kitafanya aendelee kubaki na kuwa na imani na wewe.
Usipoteze muda wako kwenye kujadili maisha ya wengine. Duniani kuna mambo mengi ya msingi, muda wa kuishi na kuyafanya ni mchache. Thamini muda/nafasi uliyopata
Usipoteze muda wako kwenye kujadili maisha ya wengine. Duniani kuna mambo mengi ya msingi, muda wa kuishi na kuyafanya ni mchache. Thamini muda/nafasi uliyopata
AiseeKila unae mtamani kwa mafanikio yake,aliteseka sana kipindi ambacho wewe hukumwona
SawaKamwe usimsahau yule aliyekufikisha hapo ulipo leo. Kama si kwa chochote basi hata kwa salamu tu.
KweliUnaweza kufunga mdomo wako kwa vitu ambavyo ume visikia lakini kamwe huwezi kufunga moyo wako kuto kuhisi maumivu
ππUnaweza kufunga mdomo wako kwa vitu ambavyo ume visikia lakini kamwe huwezi kufunga moyo wako kuto kuhisi maumivu