myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
✔️✔️Wakati mwengine ushindi wenye kelele nyingi unapatikana kwenye ukimya
📌📌Kuviachilia viende vitu usivyoweza kuvicontrol itakufanya uwe huru zaidi.
📌📌Ukitaka kumsikiliza mtu vizuri msikilize kwa lengo la kutaka kumuelewa na sio kumjibu.
📌📌Kuviachilia viende vitu usivyoweza kuvicontrol itakufanya uwe huru zaidi.