Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ee Mungu Tunaomba Utusamehe... Ile Nyimbo Ya "Juaa Lileee Literemkee Mamaa "Tuliimba Kwa Kujifurahisha Tu Wakati Wa Mchakamchaka Ila Haikuwa Dua... Tunaomba Lipandishe Juu Kidogo Mana Si Kwa Joto Hili🙏🏽😭😭
 
kutokufahamu kitu raha sana, niko hapa nang'ata waya wa umeme kuangalia rangi ya umeme.
 
 
Kumbe Watu wasiri Jamani yaani kirefu cha TZ kumbe ni TOZO.
 
Haya
Your browser is not able to display this video.
 
Kichwa kimeanza choka, ebu niwaze Taifa...

1. Taifa ambalo binti zake wakimwona Mzungu wanadhani ana ela.
2. Taifa ambalo ukiongea kiingereza unaonekana umesoma.
3. Taifa ambalo bank haikutafuti we ndo unaihonga ikukopeshe.
4. Taifa ambalo ukifeli unakuwa mtangazaji wa kipindi maalumu kabisa.
5. Taifa mbalo simu kali ni dili hata kama vocha waweka za jero jero.
6. Taifa ambalo unazaliwa umeme shida, unafika miaka 30 hata huna bajeti ya Jenereta/Solar, unailaumu tu TAAnexo!
7. Taifa ambalo warembo washajiona wao ni waomba kusaidiwa daima.
8. Taifa ambalo kila mtu anataka ajue bei ya kitu ulichonunua!
9. Taifa ambalo usipoiba unaonekana fala!
10. Taifa ambalo kila mtu analalamika hana ela, mpe dili sasa, anaanza longolongo
11. Taifa ambalo sanne lina foleni ya watu wanaenda makazini
12. Taifa ambalo ukisema upo ofisini satatu usiku unashangawa ila upo club sanane usiku unasifiwa
13. Taifa ambalo kusema jana nlikuwa bata sana ile mbayaaaa ni dili na waonekana mjanja
14. Taifa ambalo bila kuigana siku haijapita
15. Taifa ambalo kila anayehojiwa anasema "Naiomba Serikali iliangalie suala hili"
16. Taifa ambalo ukiwa na gari hutongozi unatoa tu lift kitu shaa
17. Taifa ambalo kulipa bili yako pekeako ukaruka za wengine ni vita
18. Taifa ambalo ikinyesha dakika 5 tu foleni masaa
19. Taifa ambalo viongozi wanajua "hawa watazoea tu" washazoea umeme, washazoea "haijajulikana", watazoea na hii
20. Taifa ambalo kijiMC kidonyo tu kinaweza kufariki Taifa zima likageukia Msiba
21. Taifa ambalo kuteswa ni kunyofolewa Meno na Kucha
22. Taifa ambalo viongozi wake wana mipasho ka taarabu
23. Taifa ambalo vijana wameombwa wasipondee bali wasifie nchi
24. Taifa ambalo hata bomu likilipuka Arusha, wa Mbagala anajichagulia jina la Mlipuaji
25. Taifa ambalo, dah, nmechoka, endeleeni nyie....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…