Uzi Maalum wa kupeana Maujanja ya Cryptocurrency

Pamoja na yote, elimu na ujuzi zinahitajika sana. Kabla ya kupoteza pesa kwa sababu ya FOMO (Fear of Missing Out), inabidi kusoma au kuangalia sana tutorials ya kila aina kuhusu cryptocurrencies, NFTs na DeFi, pia podcasts za kila siku toka pande zote za Dunia kwa Youtube, Twitter, n.k... websites ya news na links to YouTube: www.blockchaincompany.info,... Mtu maarufu sana ni Ran Neuer kila siku inatoa Maelezo sana ya cryptos hot hot, n.k. Ya msingi hakuna kitu bure, kwa hiyo ukiona ofa ni tamu sana, ni uwongo. Tumia masaa 40/60 kujifunza kwanza.

www.blockabase.com wanakupa 1 token kwa kuadd websites kwenye searcher Yao.
 
Duh mkuu dollar 50 per post
 
Kwanini iwe tigo tu mitandao mengine huna
 
Moderators nyuzi zote za cryptos wanapiga bani..........tulianza kuchangia toka Doge awe $0.05..….....toka shiba yupo $0.00005......kama wangeziachia zile nyuzi maelfu ya watanzania wangefaidika
sasa sijui tuweke wapi hizi fursa. Iko nyingine pia niliwaza kushare humu nikasita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…