Uzi maalum wa kupeana taarifa bar zinazo changamka weekend

Uzi maalum wa kupeana taarifa bar zinazo changamka weekend

Sehemu nyingi ziko Doro Sana bar zinakaukiwa zinakosa mpaka maji .
Kama hii zambezi ya hapa Riverside ubungo na yenyewe inaanguka
 
Dah....Espace Kipe YA YO....watu wananyonga tu...burdaaan [emoji1634][emoji485][emoji41]
 
Back
Top Bottom