kabiriga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 1,109
- 1,171
Wana memba nimeona ni vema na haki kutakiana heri ya siku ya kuzaliwa kwa wapendwa wetu hasa wale wote wanaopitia na kufatilia JF. Pia kwa wale member wa JF tunaweza kuweka tarehe za siku ya kuzaliwa tukatakia heri wenyewe kwa wenyewe.
Mimi leo naanza na mwanangu rafiki yangu GEORGe Kikumbo a.k.a MWAMBA happy birthday to you umetimiza miaka kadhaa. Mwenyezi Mungu akuongezee Miaka mingi duniani uonane na vitukuu vyako.
Mimi leo naanza na mwanangu rafiki yangu GEORGe Kikumbo a.k.a MWAMBA happy birthday to you umetimiza miaka kadhaa. Mwenyezi Mungu akuongezee Miaka mingi duniani uonane na vitukuu vyako.