ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Binafsi nime enjoy sana kuwa pamoja na wanajf wote. Naomba radhi kwa wachache tuliopishana kiswahili na nawatakia heri na fanaka katika mwaka 2018,bila kujali itikadi zenu,kiuchumi,kisiasa,kidini,kiutamaduni Wala jinsia. Mungu awe pamoja nanyi.