Uzi maalum wa kutakiana kheri ya Christmas na Mwaka mpya...

Uzi maalum wa kutakiana kheri ya Christmas na Mwaka mpya...

Mother Confessor

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Posts
18,677
Reaction score
45,532
Huu ni uzi maalumu wa kutakiana;
Kheri
Fanaka
Afya njema
Mafanikio
Upendo
Amani
Furaha n.k

Na kwakuwa tuko katika msimu wa sikukuu basi si vibaya tukijuzana nyimbo tam tam za wakati huu..Mimi naanza na hizi hapa chache;
Once upon a Christmas ~ Kenny Rodgers & Dolly Parton

The greatest gift of All~ Kenny Rodgers & Dolly Parton

All I want for Christmas is You~ Maria Carey

And so this is Christmas~ Celine Dion...etc

karibuni woooote...

Merry Christmas & happy New Year in advance🌲🌲🌲
 
Nachukua nafasi hii kuwatakia heri, mafanikio na afya njema viongozi wote wa kiasa, kipekee Namuombea Magufuli aweze kufikia malengo yake na kutufikisha pale tunakotamani kufika na pia namuombea mh Mbowe sikukuu zismkute huko Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi INSHALLAH.
 
InshaAllah Mungu awafanyie wepesi,.
 
nawatakia kheri na mafanikio msimu huu wa sikukuu mods na staffs wote wa jf ili mwakani tuwekewe kitufe cha 'dislike'
 
Nawatakia Kheri ya Christmass ndugu, jamaa marafiki wana Jf na watanzania wote kwa ujumla Mungu atuvushe salama na kuuona mwaka 2019 tukiwa tumefika malengo yetu tuliyojiwekea kwa mwaka huu 2018...AMINA
 
Back
Top Bottom