Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
InshaAllah Mungu awafanyie wepesi,.Nachukua nafasi hii kuwatakia heri, mafanikio na afya njema viongozi wote wa kiasa, kipekee Namuombea Magufuli aweze kufikia malengo yake na kutufikisha pale tunakotamani kufika na pia namuombea mh Mbowe sikukuu zismkute huko Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi INSHALLAH.
Me love you moooo my kichuna...Heri ya xmass na mwaka mpya wana jf wote nawapenda
ππππππππππNawatakia sikukuu njema na heri ya mwakampya
[emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Heri ya xmas na mwaka mpya my beloved mum![emoji8][emoji8][emoji8][emoji11][emoji11][emoji11][emoji11][emoji11][emoji11][emoji11][emoji7][emoji7][emoji7]
I'll be home with bells on,my son,..merry Christmas&happy new Year 2019...love ya'πHeri ya xmas na mwaka mpya my beloved mum![emoji8][emoji8][emoji8]
Hahaa kumbe mnajuana " hebu wa tag hapaNawatakia sikukuu njema wanaume wakware wote wa JF