Uzi maalum wa kutakiana kheri ya Christmas na Mwaka mpya...

Nawatakia kila la kheri wote waliogusa maisha yangu kwa namna chanya bila kusahau namna hasi pia.
 
Nawatakia merry Xmas na happy new year members wote humu.Nawapenda Sana[emoji8]
Hadi Sasa sijapata mwaliko wowote wa sikukuu[emoji4]

Niko available jmn kwa anaetaka nialika
Pia nawaalika mje kunitembelea sikukuu [emoji7]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…