Huu uzi ni kwa ajili ya wanajamiiforum kutakiana usiku mwema huku ukitaja na ukishukuru jamiiforum kwa habari uliyoipata humu na mijadala iliyokukosha
Mjadala wa leo ambao nimefurahia ni ule wa Zari kumbwaga Diamond I,Aliyekuwa rais wa Afrika kusini kubwaga manyanga,ni hizo tu upande wangu