Uzi maalum wa kuweka screen recorder unavyoshinda drafti gumu la Dalmax

Uzi maalum wa kuweka screen recorder unavyoshinda drafti gumu la Dalmax

Duuh, noma sana. Uko njema mkuu[emoji122][emoji122][emoji122]
Kumfunga Dalmax wa sasa version mpya siyo rahisi mkuu, hiyo video siyo yangu, nimeitoa kwenye channel ya drafti ya Dula Magoli, Dula mwenyewe katika video zake zote, ni moja tu anacheza na Dalmax, zilizobaki zote anacheza player 1 vs player 2. Hii inaonyesha kiasi gani kumfunga Dalmax ni kazi ngumu, Youtube nzima video ya kumfunga Dalmax Tanzanian rules ni moja tu.
 
Back
Top Bottom