Heavy User
JF-Expert Member
- Feb 2, 2020
- 1,047
- 1,903
Kumfunga Dalmax wa sasa version mpya siyo rahisi mkuu, hiyo video siyo yangu, nimeitoa kwenye channel ya drafti ya Dula Magoli, Dula mwenyewe katika video zake zote, ni moja tu anacheza na Dalmax, zilizobaki zote anacheza player 1 vs player 2. Hii inaonyesha kiasi gani kumfunga Dalmax ni kazi ngumu, Youtube nzima video ya kumfunga Dalmax Tanzanian rules ni moja tu.Duuh, noma sana. Uko njema mkuu[emoji122][emoji122][emoji122]
Weka screen recorder tukuone unavyomfungaAnafungika mbona kaka ..tatizo uwezo tuu wako n mdgo
Anafungika mbona kaka ..tatizo uwezo tuu wako n mdgo
Nimeiona.Iyo apo 🔥🔥
download screen recorderHii kitu inarekodiwaje wadau? Natamani kujua.