44mg44
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 2,158
- 2,186
Hivi kwanin Tanzania kisoka hatuna ushirikiano? Tutambue kuwa umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu. Umoja wetu Watanzania ndiyo uliyotuwezesha kumshinda Idd Amin Dada mwaka 1978/1979. Nawaomba wapenzi wa soka la Tanzania wote tuungane katika maombi na kupeana mbinu mbalimbali ili timu zote zifuzu hatua ya makundi.
Tuache ushabiki hautatusaidia, hii ni vita kama vita vingne, tutangulize Utaifa kwanza. Wachungaji, Mapadre hata Mashehe karibuni mtoe maombi yenu. Pia hata wataalam toeni ushauri kwa timu zote mbili, kwamba inatakiwa zifanye nini ili zishinde mechi za leo.
Timu zote mbili zikiingia makundi, Tanzania itaheshmika mno kimichezo.
NB: Utopolo tumsamehe kwa makosa ambayo huwa anayafanya, ya kuwapokea maadui na kuwafundisha mbinu pale wanapokuwa wanakuja Tanzania kucheza na Simba.
Karibuni kwa dua, sala na ushauri pia.