Uzi Maalum wa Lyrics za nyimbo mbalimbali maarufu

Uzi Maalum wa Lyrics za nyimbo mbalimbali maarufu

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,154
Reaction score
4,184
Wadau
Naona ili kusapoti muziki wetu basi tuwekeane hapa lyrics/mashairi/beti/maneno ya nyimbo mbalimbali maarufu za kiswahili za sasa na za zamani.Na kwa wale wasanii wa miziki walioko JF kama vipi wekeni mashairi watu tusome na kuimba.
 
,.....Mwili wangu unanidanga, mwili wangu unanidanga huu mwili.
Hata niuvishe kwa mavazi,unanidanganya mwili.
Hata niulishe kwa chakula unanidanganya mwili.
Weupe ninao jivunia, unanidanganya mwili.
Acha kunidanganya, ww mwili wangu
Siku moja utaoza wewe, unanidanganya mwili.
Utaishia kua udongo, unadangaaanya!

-Roman Catholic song.
 
siku hizi sinyonyi embe napenda kunyonya............


by true boy.
 
Mara ya kwanza mi namwona...
East zoo Dodoma..
Ghafla nkajihis kama mtu mwenye homa..
Kutoa salam tu, jibu lake ni noma..
Saut yake tu, nkajihisi nimepona...

Ndefu yake shingo, mwendo wa maringo..
Nlifurahi aliponambia yupo singo...

Sio siri mtoto huyu ameumbika..
Na kama akipita mbele ya watu kumi basi...
Wanne kati yao lazima watababaika..
Hata wawil wivu tu umewashika

Kisa kwa ngwea ndo amefika..
Nami na apa kamwe sitomwacha...
Nnaimani atanizalia mapachaa...
Hata kama bahati mbaya akiwa tasa..
Naahid sitoweza kumwacha...
Na yote ni sibabu tu SHE GAT'A GWAN
.
.
.
.
Sitasahau mara ya kwanza mi anruhsu..
Nimbusu.. nitomase zake $#@*&!

Naona fahari leo mpenzi upo na mimi..
Na ninakuahidi milele ntakuthamini..
Sitojari ushatembea na wangapii...
Kuwa nawe maishani naona bahati
 
kma unapenda kuzurula humu jf fatana na mim [emoji124][emoji124][emoji124]
 
Back
Top Bottom