Maisha na mziki
Katika playlist yangu hutamkosa songa,ghetto na kad go namkubali usipime
Nimemiss killinge Cha msasani B Na mwaka Jana freestyle rap battle ya micasa ya Riverside tulifanya kidogo Sanaa hii nimesikia wamehamia micasa ta magengeni sijui Kama kinaendelea nifuatilie asee
View attachment 1095474 hii Ni official hii Ni show nzito..unataka kucheza njoo disco haijalishi unatoka kariakoo or Miko cheni..songa mtata
View attachment 1095475 niliyatafuta ya dunia, Sasa nimeyaacha nautafuta upendo usionitupa right here.....
View attachment 1095477RIP LEGENDARIES
View attachment 1095478beat lake zuri na ubunifu wake unanikosha
View attachment 1095476