Uzi maalum wa Maisha ya ndege JOHN

Hii kazi ya kujiajiri humu Jf uliishia wapi na huu uzi wako
 
Kilichofanyika humu na ndege JOHN ni kitu kizuri sana na kuna knowledge ya kufa mtu ningependelea aendelee

Lakini tangu mwanzo nilikubaliana na waliosema hiki kibarua alichojipa asingeweza

Ili awe huru alitakiwa kusema vinginevyo lakini sio kwamba ataandika nukta mpaka nukta ya maisha yake...ngumu sana

Bwana Ndege rudi bwana uendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…