dredlock Senior Member Joined Feb 25, 2017 Posts 120 Reaction score 466 Nov 14, 2017 #1 Uzi huu utakuwa maalum kwaajili ya kutupia picha za marastafarian na mitindo mbalimbali ya dreadlocks
Uzi huu utakuwa maalum kwaajili ya kutupia picha za marastafarian na mitindo mbalimbali ya dreadlocks
Mla Bata JF-Expert Member Joined Jan 24, 2013 Posts 7,841 Reaction score 17,491 Nov 15, 2017 #2 Mi sinaga hizo dread ila napendaga sana kuona watu wanafuga
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Nov 16, 2017 #3 Wapi kuna saloon nzuri ya dreads mitaa ya ukonga, banana, airport
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,926 Reaction score 95,626 Nov 16, 2017 #4 NB:Huu uzi hauwahusu wanaume wa Dar!
KikulachoChako JF-Expert Member Joined Jul 21, 2013 Posts 19,185 Reaction score 37,239 Nov 16, 2017 #5 Behaviourist said: NB:Huu uzi hauwahusu wanaume wa Dar! Click to expand... Kwa hiyo unataka kusema vijana wenye dreadlock na Rastafarian ni wa Dar tu peke yao....!!!??
Behaviourist said: NB:Huu uzi hauwahusu wanaume wa Dar! Click to expand... Kwa hiyo unataka kusema vijana wenye dreadlock na Rastafarian ni wa Dar tu peke yao....!!!??