Uzi maalum wa Marastafarian na watu wanaopenda dredlocks

dredlock

Senior Member
Joined
Feb 25, 2017
Posts
120
Reaction score
466
Uzi huu utakuwa maalum kwaajili ya kutupia picha za marastafarian na mitindo mbalimbali ya dreadlocks




 
Mi sinaga hizo dread ila napendaga sana kuona watu wanafuga
 
Wapi kuna saloon nzuri ya dreads mitaa ya ukonga, banana, airport
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…