mimi napenda vimobitel boss mMkuu mkeo kapigwa pasi nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3]
Huyu panki boy ananiboaga kwa mipekosi yake tu...Huu ni uzi wa kuweka picha uzuri ya kusisimua na kufurahisha tupia picha yako hapa
Karibuni.......
aisee....hii noma
Inabidi uwe mchunguzi kidogo kujua uzuri wa hii picha
aiseeee salaale ..ungeweka na nsmba zake mkuu au nikufuate pm unipatie
aiseee hiii pctr itakuwa ilipigwa na CIA..maana sio kwa udukuzi huu
Inabidi uwe mchunguzi kidogo kujua uzuri wa hii picha
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125]