Genius Man JF-Expert Member Joined Apr 7, 2024 Posts 3,558 Reaction score 7,935 Dec 1, 2025 #1 Mwongozo Muda wa kukutana ni saa moja kamili asubui, Vitu vya msingi 1, Vaa mavazi mepesi ya mazoezi na uwe na maji ya kutosha, 2, Beba bendera ya nchi na bango kama hauna sio lazima, 3, Kuwa na pesa ya akiba kwaajili ya usafiri au chakula, 5, Zingatia namba nne.
Mwongozo Muda wa kukutana ni saa moja kamili asubui, Vitu vya msingi 1, Vaa mavazi mepesi ya mazoezi na uwe na maji ya kutosha, 2, Beba bendera ya nchi na bango kama hauna sio lazima, 3, Kuwa na pesa ya akiba kwaajili ya usafiri au chakula, 5, Zingatia namba nne.