Uzi maalum wa sentesi ambazo ukisema kwa haraka hara unajikuta unatukana au kukksea

Internal

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2017
Posts
3,579
Reaction score
3,919
Hii in maalum sana kwa zile sentesi ambazo ukijichanganya tu unaangukia kwingine .

Mfano.

Jaribu kutamka kwa speed
[emoji312] Ndege mwekundu kala mkungu wa ndizi...... ndege mwekundu kala mkungu wa ndizi.

Karibuni
 
Twende na hii.

Mpishi mbishi kapika mchicha mbichi.

Kwa speed leta mrejesho.
 
Kafa manzese mazishi sinza

siko vile nilivyokuwa, haimaanishi nipo tofauti.
 
Kaka, kale kakuku kadogo ka kwangu kekundu kako kwako kaka?

Sent from my Diamond Crypto using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…