Hata wewe mwenyewe kichwa cha habari cha uzi wako kimekosewa, sasa sijui na wewe ulikuwa unaandika harakaharaka?Hii in maalum sana kwa zile sentesi ambazo ukijichanganya tu unaangukia kwingine .
Mfano.
Jaribu kutamka kwa speed
[emoji312] Ndege mwekundu kala mkungu wa ndizi...... ndege mwekundu kala mkungu wa ndizi.
Karibuni
hii nomaKaka, kale kakuku kadogo ka kwangu kekundu kako kwako kaka?
Sent from my Diamond Crypto using JamiiForums mobile app
DuuhKafa manzese mazishi sinza
siko vile nilivyokuwa, haimaanishi nipo tofauti.
[emoji2] [emoji16] [emoji16] [emoji2]Hii in maalum sana kwa zile sentesi ambazo ukijichanganya tu unaangukia kwingine .
Mfano.
Jaribu kutamka kwa speed
[emoji312] Ndege mwekundu kala mkungu wa ndizi...... ndege mwekundu kala mkungu wa ndizi.
Karibuni
kicha cha tigwa [emoji28] [emoji28] [emoji13] [emoji13] [emoji28] nakupa like mtu wanguKichwa cha twiga....(harakaharaka)
Pia nimeona umeanzishwa uzi maalum kwaajili ya wezi kupeana maujanja [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] pambaf zangu [emoji16] [emoji16]fundi mkuu ndugu yako
haraka haraka
kwel asee : 🙄Mhhh mkuu hi sio yakutumia kabsa kwa mjomba haifai hata ikinyooka itaonekana imrpepindishwa