Nimecheka kama MonsterTena Hilo nyani ngabu nahisi hata pantoni halijawahi panda
Nyani nyabu Yuko Ikungulyabashashi ana kilinge, ni Sangoma
Tena Hilo nyani ngabu nahisi hata pantoni halijawahi panda
Ekaya gete ahenaho bhageshi! ๐Dah! Gile umeniwahi ๐๐.
Ile najiandaa tu kuandika โmimi nipo Ikungulyabashashi...paap....naona bandiko lako.
Ikungu all day everyday and twice on Sunday baby.
View attachment 1449614
nikweli mkuu ila msoto wetu sio sawa na wa maziwa makuuVipi mkuu? Nasikia nyie wabeba mabox siku hizi hela hamna tena hali ngumu kinoma noma...
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku ukikwama nauli uniambie mkuu.nikweli mkuu ila msoto wetu sio sawa na wa maziwa makuu