Mpauko
R.I.P
- Jan 19, 2019
- 2,323
- 3,428
Wasalaam
Kuna wakati tunajikuta tukiacha ama kuachwa bila kutegemea "kimasihara" tupeane faraja hapa.
Binafsi nikiwa mwaka wa kwanza chuo, ilitokea kupendana sana na binti mmoja,maisha yalikuwa matamu kwelikweli kwani tulisaidiana sana katika hali na mali Hivyo kupunguza msoto mkali wa chuoni.
Kama ilivyo kwa mtu yeyote hutokea ana rafiki mmoja tu wa kumuamini ndivyo ilovyokuwa kwangu,nilimtambulisha mwana kwa manzi angu fresh...
Muda huu naandika yule demu siyo demu wangu tena,na yule mshkaji sio mshkaji wangu tena,saii wanaelekea mwezi wa tatu wa ndoa yao na tayari wana mtoto wa mwaka mmoja...