Uzi maalum wa tulioacha/ tulioachwa kimasihara

Uzi mzuri sana!

Kuna demu wa kihaya nilikua nae kwenye mahusiano mwaka wa pili chuo ila yeye chuo tafauti sababu kuu ya kuachana ni kwamba alisema simkazi vizuri iliniuma sana ila siku na namna siku zinavyozidi kwenda akazidisha dharau hadi matusi na Mimi baada ya kuongea nae kwenye simu ajira ya saa moja usiku nikasema sitamsemesha tena labda anisemeshe na hiyo ndio ikawa mwisho wetu
 
Nilimuweka dogi, nikaona vipande 2 vya mavi kama milimita moja,nikaoga na omo,nikapiga na pafyume, nikaondoka huku nalaani uwepo wa mavi duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…