Uzi maalum wa updates za bata, starehe, mapumziko/likizo kwa Tanzania

Ngoja waje
Ila kwa kuanzia,
Muda wa joto kali Dar
Kwenda kuogelea mchana to evening raha sana

Ila lazima mchague siku ambazo sio sikukuu ili kupata utulivu eneo husika
Angalizo mjue kuogelea ama muishie kwenye shallow end starehe isigeuke kadhia kwenu
 
Naamini wale walio wavuvi camp na maeneo yanayoendao nayo wanafaidi sana, watashare hata picha ili wenzao wa mikoani tufaidi.
Kijumla Dar wanafaidi kila kitu
Foleni ni mateso yasiyomithilika

Kila kitu kina faida zake
Mkoani no stress za foleni
Wala joto kali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…