Uzi maalum wa vikojozi

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Hakuna ambae utotoni hajapitia hii kadhia ya kukojoa kitandani,na sio utotoni tuu hata mpaka sasa kuna wakubwa wanaokojoa kitandani sio wanaume sio wanawake.

Sasa elezea hii hali mpaka unajikuta ushakojoa huwa inakuwaje yaani ni nini kinakushika hadi kusahau kuwa ua kujua uko kitandani.

Mimi zamani nakumbuka nilikuwa naona kabisa eti niko uwanjani nacheza mpira mara nakimbilia pembeni mwa uwanja nabinjua bukta kwenye paja mguu mmoja natoa dushe nakojoa kabisa hamadi ile nakuj kumaliza kukojoa ghafla najikuta nishamaliza kumbe niko kitandani.

Au wakati mwingine eti nacheza kombolela mara nasimama pembeni ya mgomba natoa dushe nakojoa kumbe niko kitandani nishaharibu.

Kwa kweli hii hali ilikuwa inanishangaza sana maana mara ingine unaamshwa na mzazi/mlezi au mkubwa wako ulolala nae unamjibu kabisa busikii mkojo lakini sekunde kadhaa tuu unakojoa.

Hbu elezea na wewe ilikuwaje kwako. Karibuni[emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…