Jstar1
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 1,391
- 1,347
Kuna watu imefkia hatua tumebatizwa majina na kuitwa njaa kali. Kama uliwai kupitia hii hali au uliwai kuitwa njaa kali au bado umepewa nick name ya njaa kali share experience yako hapa.
Kama kuna mdau ana mchongo na hataki tuendelee kuitwa njaa kali, tunyanyuane wapwa.
Kama kuna mdau ana mchongo na hataki tuendelee kuitwa njaa kali, tunyanyuane wapwa.