Yupo jukwaa la siasa, Ni mwana ccm hatari wa kutetea kila ovu. Ana njaa Kali Sana.Kuna dogo humu anajiita bia yetu nae naona ni njaa kali
Ha ha ha.. yule ana pimbi wenzie akina YEHODAYA, Magonjwa Mtambuka, stroke, Kawe Alumni, jingalao, nk.. wanasaidiana kutetea maovu!Yupo jukwaa la siasa, Ni mwana ccm hatari wa kutetea kila ovu. Ana njaa Kali Sana.