huyo alicheza msimu mmoja,,akaachwa hakuwa mtanzania,,nadhani alikuwa mrundi,,hyo simba ya akina mackenzi ramadhani golini,,Kuna mchezaji alikuwa anaitwa Damian Kimti, nadhani alichezea simba. Huyu hadi kuna viatu viliandikwa Kimti. Kwa wanaofahamu zaidi kumuhusu please mwageni taarifa.
Hapo nadhani ulitaka kuandika Adam sabu (sabu ali )Miaka ya nyuma mchezo wa soka ulikuwa una utamu wake wakati huo hakuna TV ni radio tu.Hebu tujaribu kutaja majina ya wapiga kabumbu wakati huo tukumbushane timu zao na walipo mimi naanza
Gibson Sembuli---Yanga alifariki 19 77
Omar Mahadh
Jela Mtagwa
Shaban Barazani
Sabu Ali
Maulidi Dilunga
Endeleni. .......