Uzi maalum: Weka Top Ten yako ya Viongozi Bora Kuwahi kutokea Since 18th century.

Louis II

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2018
Posts
3,030
Reaction score
4,647
Wakuu!

Ulimwenguni kuna viongozi wengi walioongoza mataifa ama falme mbalimbali kwa weledi na ustadi wa hali ya juu hadi kupelekea wakumbukwe daima katika mataifa yao, mabara yao na duniani kwa ujumla.

Hii itaanzia karne ya 18 kuja juu.
My top ten Leaders since 18th century are-;

1.George Washington-; huyu alikuwa rais wa kwanza wa Marekani na ndiye aliyeongoza nchi hiyo kupata Uhuru kutoka kwa Waingereza mnamo mwaka 1776.

2.Abraham Lincoln-; huyu naye pia alikuwa Raid wa zamani wa Marekani..atakumbukwa kwa kupiga marufuku utumwa na biashara ya utumwa nchini marekani..this was during 1860s+.

3.Otto Von Bismark-; huyu ndiye msingi wa Ujerumani tuijuayo Leo...Ndiye king ongozi aliyeiuanganisha Germany in 1770's. Nani aliyesahau kuhusu Berlin Conference? Bila huyu jamaa dunia ingengia kwenye vita mapema sana!

4.Frankiline Roosevelt-; Marekani na duniani kwa ujumla hawawezi kumsahau Raisi huyu....Alikuja na policy ya "The New Deal" kukabiliana na Anguko kubwa la kiuchumi in 1930's..huyu alikuwa bonge la jiniazi.

5. Mao Tse Tung-; huyu alikuwa kama mungu wa Wachina.....ndiye kiongozi aliyeacha alama isiyofutika tangu Mapinduzi ya Kichina mwaka 1949.

6. Vladimir Lenin-; Huyu jamaa ana maelezo marefu sana kutokana na alipoitoa Russia kutoka mikononi mwa Mensheviks... I hope wengi mnafahamu habari zake.

7. Mahatma Gandhi-; Kiongozi wa kwanza wa India aliyeipa Uhuru kutoka kwa Waingereza 1947. Nani asiyejua historian ya huyu bwana?

8. Fiedel Castro-; Kiongozi wa Cuba. Huyu alikuwa bonge la Marshall, Wamarekani hawatamsahau maisha yao yote...(Kilichowapata kwenye Battle of Bay of Pigs kitaishi kwenye historiyao milele). Castro ndiye kiongozi kipenzi zaidi aliyependwa na Wacuba na walijihisi salama zaidi kongozwa naye.

9.Queen Elizabeth-; huyu mama uongozi wake utakumbukwa sana!..kwanza ni katika utawala wake ndipo nchi nyingi zilizokuwa chini ya utawala wa Uingereza zilipewa Uhuru wao (Nyingine bila hata kumwaga damu mf. Tanganyika)....Huyu mama yuko peace sana na ni mwenye kupenda sana Diplomacy and International Relations!

10.Nelson Madiba Mandela-; ingewezekana vipi hii listi iishe bila kuwepo jina la huyu Mzee? Mzee Mandela atakumbukwa kwa mengi Afrika na duniani kwa ujumla hakika alikuwa na moyo wa pekee.

Mwenye listi tofauti na hiyo aweke na sisi tufaidi hapa...coz JF ni bahari ya Maarifa!
 
1. Alexander Hamilton - US first Secretary of Treasury
2. Benjamin Franklin- Sixth President of Pennsylvania
3. Mtyela Kasanda ( Mirambo ) - Mtemi Nyamwezi
4. Munyigumba Mwamuyinga ( Mkwawa) - Hehe king
5. France Albert Rene - second President of Seychelles
6. Vladimir Putin - President of Russia
7. Zayed bin sultan al Nayhan- first President of United Arab Emirates.
8. Patrice Lumumba - Prime minister of Congo
9. Julius Nyerere - First President of Tanzania
10. Ronald Reagan- 40th President of the united States of America
 
Hapo 3 na 4 umenikuna😀
 
1. Winston Churchil-Alikuwa waziri mkuu wa Uingereza
2. Bi. Benazhir Bhuto-Alikuwa waziri mkuu wa Pakistan
3. Xi Jianping- Rais wa sasa wa China
4. Samora Machel-Alikuwa rais wa Msumbiji
5. Tony Blair- Alikuwa waziri mkuu wa Uingereza
6. Angela Markel- Chancellor wa sasa wa Ujerumani
7. Joseph Malema-Kiongozi wa upinzani Afrika Kusini
8. Zitto Kabwe-Mwenyekiti wa ACT Wazalendo
9. Mwl. JK Nyerere-Baba wa taifa la Tanzania
10. Che Guavara-Mwanamapinduzi wa Argentina
 
Pole pole
1. JIWE
2. Ninja
3. Mnyeti
5. Bashite
6. Albert Chalamila(rc mbeya)
6. RPC Muroto(mtapata tabu sana)
Naongezea (kumalizia orodha yako Mkuu):
7. Kamanda Andengenye
8. Jidula Mabambasi
9. Kazi Ndugu Gai
10. Didas Masaburi....
 
1. Winston Churchil-Alikuwa waziri mkuu wa Uingereza
2. Bi. Benazhir Bhuto-Alikuwa waziri mkuu wa Pakistan
3. Xi Jianping- Rais wa sasa wa China
4. Samora Machel-Alikuwa rais wa Msumbiji
5. Tony Blair- Alikuwa waziri mkuu wa Uingereza
6. Angela Markel- Chancellor wa sasa wa Ujerumani
7. Joseph Malema-Kiongozi wa upinzani Afrika Kusini
8. Zitto Kabwe-Mwenyekiti wa ACT Wazalendo
9. Mwl. JK Nyerere-Baba wa taifa la Tanzania
10. Che Guavara-Mwanamapinduzi wa Argentina
List ilikua nzur,lkn ulipomuingiza zito ukaharibu kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Winston Churchil-Alikuwa waziri mkuu wa Uingereza
2. Bi. Benazhir Bhuto-Alikuwa waziri mkuu wa Pakistan
3. Xi Jianping- Rais wa sasa wa China
4. Samora Machel-Alikuwa rais wa Msumbiji
5. Tony Blair- Alikuwa waziri mkuu wa Uingereza
6. Angela Markel- Chancellor wa sasa wa Ujerumani
7. Joseph Malema-Kiongozi wa upinzani Afrika Kusini
8. Zitto Kabwe-Mwenyekiti wa ACT Wazalendo
9. Mwl. JK Nyerere-Baba wa taifa la Tanzania
10. Che Guavara-Mwanamapinduzi wa Argentina
Hapo kwa Zitto umeleta masikhara makubwa sana;
 
Back
Top Bottom