Uzi maalumu kuwaenzi Waandishi wakongwe kwa njia ya kuweka misemo au nukuu maarufu kupitia vitabu vyao

Uzi maalumu kuwaenzi Waandishi wakongwe kwa njia ya kuweka misemo au nukuu maarufu kupitia vitabu vyao

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Uzi huu unakusudia kuwaenzi Waandishi wetu wakongwe na wanaoheshimika wa ndani na nje ya nchi.

Hivyo unachotakiwa ni kuweka msemo/ nukuu moja, jina la Mwandishi , Kitabu na tafsiri ya msemo/ nukuu husika.

Mungu aendelee kuwapa pumziko la Amani Waandishi waliotangulia mbele za haki.

Karibuni

Busara kubwa kichwani haina faida kama moyoni hamna chembe ya wema - Adili na Nduguze, Shaban Robert
 
Back
Top Bottom