Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
achana naye huyo aliyekukandia kuwa mchawi sio lazima ulogeInakufundisha kuandika kwa kutumia akili njema.
Na kati ya makosa makubwa sana ambayo mara nyingi watu huwa wanayafanya pasipo kujua, ni kuwaamini wanaowapenda, na kutokuwaamini wasiowapenda!"To be trusted is greater compliment than to be loved"
John Maxwell