Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
It's very unfortunate when one accepts word of wisdom based on who said it rather than what it's--wisdom.Naona wadau wamekomaa na Wazungu tuu...Ukoloni hauishi leo wala kesho
Inasaidia sana hasa wakati huu ambapo umasikini umepungua kwa asilimia 26.Mkuu hii inasaidia vipi kuhusu kuporomoka kwa thamani ya shilingi yetu dhidi ya US dolar na sarafu nyingine za kigeni?