Ujaenzi wazazi wako unaenzi....Wadau hamjamboni nyote?
Uzi huu unakusudia kuwaenzi Waandishi wetu wakongwe na wanaoheshimika wa ndani na nje ya nchi.
Hivyo unachotakiwa ni kuweka msemo/ nukuu moja, jina la Mwandishi , Kitabu na tafsiri ya msemo/ nukuu husika.
Mungu aendelee kuwapa pumziko la Amani Waandishi waliotangulia mbele za haki.
Karibuni
Busara kubwa kichwani haina faida kama moyoni hamna chembe ya wema - Adili na Nduguze, Shaban Robert
Halafu mtoa mada sio gavana wa benki.Alitambue Hilo.Ingekuwa kaandika uzi huu kwenye jukwaa la mambo ya uchumi, swali lako lingekuwa valid. Lakini huku liliko, Swali lako linaonekana la kijinga tu
He who learns must suffer. And even in our sleep, pain which cannot forget falls drop by drop onto the heart. Until in our own despair, against our will, there comes wisdom, through the awful grace of God.Wadau hamjamboni nyote?
Uzi huu unakusudia kuwaenzi Waandishi wetu wakongwe na wanaoheshimika wa ndani na nje ya nchi.
Hivyo unachotakiwa ni kuweka msemo/ nukuu moja, jina la Mwandishi , Kitabu na tafsiri ya msemo/ nukuu husika.
Mungu aendelee kuwapa pumziko la Amani Waandishi waliotangulia mbele za haki.
Karibuni
Busara kubwa kichwani haina faida kama moyoni hamna chembe ya wema - Adili na Nduguze, Shaban Robert
Wadau hamjamboni nyote?