Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
Masai au Mazao.???Wakuu tupeane ideas pia Ni Masai gani ukilima yanakua Na Soko
Ni Mazao Sio Masai typing errorMasai au Mazao.???
Inategemea na ulipo ila mahindi na mpunga ni fresh tu.Ni Mazao Sio Masai typing error
Kwa mkoa wa Tanga jeInategemea na ulipo ila mahindi na mpunga ni fresh tu.
MpungaKwa mkoa wa Tanga je
Kila zao linauzika sokoni...kikubwa ni kulima kwa ubora ili upate mazao bora na vilevile kulima kwa timing ili ukutane na bei nzuriWakuu tupeane ideas pia Ni Masai gani ukilima yanakua Na Soko
Nadhani maharage,, soko lake liko wazi sanaNi Mazao Sio Masai typing error