Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,053
- 3,259
SawaKama ulivyo uzi ule maalumu wa kupeana like basi nimeona si mbayaa tukawa na uzi huu maalumu kwa ajili ya kuongezeana followers ..
Kwa atakayecomment basi follow yule ambaye unavutiwa nae..si mbaya nae ukamfollow.
Follow Follow.
Follow me i will follow you.
Karibuni.
Nikitaka kukufolo nafanyaje cz me mgeni maeneo hayaJamani mniforo Basi
@Bibah mohd. Njoo pm natoa hiyo course bure kabisaa..Nikitaka kukufolo nafanyaje cz me mgeni maeneo haya
Gusa Nina langu kisha utaona sehemu imeandikwa follow then paguse.. Itakua umenifoloNikitaka kukufolo nafanyaje cz me mgeni maeneo haya
Nikitaka kukufolo nafanyaje cz me mgeni maeneo haya
@Bibah mohd. Njoo pm natoa hiyo course bure kabisaa..
Hahaaa, mbona unanipeperushia huyo ndege bro?pale senior member anapomvimbia new member [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
samahani mkuu kwani alikuwa bado hajafika PM πHahaaa, mbona unanipeperushia huyo ndege bro?
Daah, huyu new member hapajui kabisa Pm aisee.samahani mkuu kwani alikuwa bado hajafika PM [emoji23]
Nataka nikufolo...Nikitaka kukufolo nafanyaje cz me mgeni maeneo haya