Hata twitter nayo haja follow mtu ?Eminem hajafolo MTU hata mmoja fb, akaulizwa kwann we hufolow wenzio akajibu..
Be a leader not a follower..
-Eminen.
Hahaha nakuja@Bibah mohd. Njoo pm natoa hiyo course bure kabisaa..
NdyoNataka nikufolo...
Ninaruhusiwa???
Hahaha napajua bnDaah, huyu new member hapajui kabisa Pm aisee.
hahah.... anahitaji tuition ya kiwango cha satandadi geji... jichukulie maksi sasa ππDaah, huyu new member hapajui kabisa Pm aisee.
Daah, huyu new member hapajui kabisa Pm aisee.
Hahaha napajua bn
Hahaha asee ww ni catalystanapajua bwana [emoji23][emoji23] kazi kwako mkuu
Hahaha asee ww ni catalyst
Hahahaaa. Rafiki nimecheka hii picha.NawaonaaaaView attachment 870322
πππHahahaaa. Rafiki nimecheka hii picha.
Uuwiii. Ningekuwa mie ningezikatilia mbali ya nini kuhangaika na kipara ka hicho.
Sawa ntagusa Nina lako [emoji23] [emoji23] [emoji23]Gusa Nina langu kisha utaona sehemu imeandikwa follow then paguse.. Itakua umenifolo
HahaaaaHahaaaa jina banaSawa ntagusa Nina lako [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa mkuuHahaaaaHahaaaa jina bana
Unadhani Sesten. Vinywele vya hivyo hapana kabisa.πππ
Na kweli aisee HajarUnadhani Sesten. Vinywele vya hivyo hapana kabisa.
Ushafika huku.Nikitaka kukufolo nafanyaje cz me mgeni maeneo haya