Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Mbona mi sielewi chochote kuhusu hii ligi...??!!!!
Huyu kremlin nlidhani ata top kumbe kilazaHabari wapenzi wa Fantasy League ,huu ni uzi maalumu kwa ajili ya ligi yetu pendwa ya JamiiForums Fantasy League .joining code hsyx67
GW 1 Top 10
View attachment 2720213
Top 81 ??? a joke
Huyu kremlin nlidhani ata top kumbe kilaza
🤣🤣🤣Sio mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanini?? Au wewe ndo Kremlin mwenyewe kuna muda alikuwa anaongoza
Ligi haina mpunga ?
Play for funHabari wapenzi wa Fantasy League ,huu ni uzi maalumu kwa ajili ya ligi yetu pendwa ya JamiiForums Fantasy League .joining code hsyx67Top 10 after GW 2View attachment 2725284
GW 1 Top 10
View attachment 2720213
Ligi haina mpunga ?
Gw 11 bado hujaongoza tu ?Wiki lazima niongoze [emoji28]
Mi ndo naongoza fantasy zote za hapa JF...Gw 11 bado hujaongoza tu ?
Hongera sanaMi ndo naongoza fantasy zote za hapa JF...
Timu yangu inaitwa MSATI CITY
AsanteHongera sana