Uzi maalumu kwa ajili ya watu wasiojulikana

expedition

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2016
Posts
935
Reaction score
2,995
Uzi huu ni kwa ajili ya kupeana habari zihusuzo watu wasiojulikana pamoja na matukio yasiyojulikana ili tu kila mmoja wetu awe na uelewa na aweze kuchukua tahadhari zaidi zitakazomsaidia kuwa kando ama kukabiliana na watu wasiojulikana.

Karibuni wadau.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MKUU NIKO SEHEMU ISIYOJULIKANA KUNA WATU KIBAO WASIOJULIKANA WAMEKAA WAKIONGEA KISICHOJULIKANA NA WAMEKUBALIANA YASIYOJULIKANA NA SASA WANAELEKEA KUSIKOJULIKANA KUFANYA YASIYOJULIKANA KWA WAHUSIKA WASIOJULIKANA
bila shaka umekwisha chukua hatua zisizojulikana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja na mimi nitafute habari ya kuleta kutoka kwenye mitandao ya jokes niandike ya wasiojulikana.
 
Ni mwendo wa kuvaa bullet proof, kufanya zoezi sana na kuvaa helmet bila kusahau kujifunza martial arts ili kukabiliana na wasiojulikana ukiingia anga zao
 
kuna jamaa hapa mgahawani anakunywa chai ya maziwa na apple nimeshindwa kumwelewa kabisa.
 
kuna post moja niliionaa ni video clip ya mtu asiyejulikana kwa sura alikuwa anawashwa na kujikuna mnooo
 
nipo sehemu isiyojulikana, napasha na watu wasiojulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…