holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 1,859
- 2,986
Wakuu,
Huu ni uzi wa wote, tupeane changamoto mbalimbali tunazopitia sisi ambao bado hatujaoa au kuolewa, au ulioa au kuolewa ukaachika. Hata wewe ambae upo kwenye ndoa ipo siku utaachika hivyo ushauri, changamoto na maoni yako ni muhimu sana.
Natanguliza shukrani za dhati kwenu.