Uwezo wako wa kufikiri ndo umeishia hapa?hata wewe ambae upo kwenye ndoa ipo siku utaachika hivyo ushauri,
ukitaka, usipotaka hakupokuachika kupo tu mkuu.
Lazima kuwe na sababu, hiyo mianya ya hizo sababu nimezibakama hutaki wewe mwenzio atataka na atakuacha na maumivu mkuu
Unawaza au unapigaWakati mwingine upwiru huwa unanikaba mpaka nawaza kupiga nyeto.
KUna kazi ipo kazin ukuWakuu,
Huu ni uzi wa wote,tupeane changamoto mbalimbali tunazopitia sisi ambao bado hatujaoa au kuolewa,au ulioa au kuolewa ukaachika,hata wewe ambae upo kwenye ndoa ipo siku utaachika hivyo ushauri,changamoto na maoni yako ni muhimu sana.
Natanguliza shukrani za dhati kwenu.