LegalGentleman
Member
- Oct 26, 2021
- 99
- 294
Steven Charles Kanumba (alizaliwa mnamo tarehe 8 Januari 1984,katika mkoa wa Shinyanga - alifariki tarehe 7 Aprili 2012 alikuwa msanii wa maigizo na filamu kutoka nchini Tanzania, baba yake alikuwa anaitwa Charles Kanumba na mama yake aliitwa Flora Mutegoa. Alikuwa ana uwezo wa kuongea lugha kiswahili, kisukuma na kiingereza.
Ni mmoja wa wasanii wa kwanza kufanya kazi nje ya Nchi na kuvutia wasanii wa nje kuja kuigiza nchini Tanzania. Hasa walikuwa Wanigeria kama vile Mercy Johnson, Emmanuel France, Nkiru Silvanus, Ramsey Nouah na wengineo. Kanumba pia ameweza kuwaleta waongozaji filamu kadhaa wa Kinigeria nchini.
Steven Alianza elimu yake ya msingi katika shule ya Shule ya msingi Bugoyi na aliendelea na elimu ya sekondari katika shule iliyoitwa Shule ya sekondari Mwadui, Na baadae aliamishiwa Vosa Mission Secondary School . Alijiunga kidato cha 5 & 6 katika Shule ya Sekondari Jitegemee iliyopo Dar-es-salaam
Kanumba alifariki baada ya kupata jeraha kwenye ubungo, ambapo jeraha hilo lilisabishwa baada ya kupata pigo kichwani tarehe 07/04/ 2012 ILisemekana alikuwa na rafiki yake wa kike anayeitwa Elizabeth Michael anaye fahamika kama Lulu ambaye alikuwa na miaka 18 kipindi hicho. Lakini rafiki yake huyo alikanusha kuhusu kuhusika na kifo cha Kanumba. Kanumba alipelekwa hospitali ya taifa Muhimbili akiwa mahututi ambapo, baada ya vipimo madktari walithibitisha kwamba kifo chake kilitokana na jeraha kwenye ubungo kumsababishia kukosa pumzi na kupoteza uhai hapo.
Mnamo mwaka 2017, Lulu alituhumiwa kwa kuua bila kukusudia na alipewa adhabu ya kufungwa miaka 2. Hukumu yake ilibadilishwa na kufanya huduma za kijamii aliachiwa jela baada ya kifungo cha mwaka mmoja released from jail 12/05 /2018. Msiba wake ulihudhuriwa na watu takribani 30,000 akiwepo mheshimiwa mama Salma Kikwete. Alizikwa katika makaburi ya kinondoni.
MOVIE ZAKE
Kanumba ameanza shughuli za kuigiza miaka mingi kwenye miaka ya 1990. Ambapo alianza kufahamika zaidi mwaka 2002 mara tu baada ya kujiunga na kundi la sanaa ya maigizo maarufu kama Kaole Sanaa Group lililopo Bagamoyo. Alijibebea umaarufu mkubwa nchini Tanzania na alikuwa kipenzi cha wengi na alikubalika karibia nchi zote za Afrika Mashariki na maziwa makuu.
Aliweza kutangaza sanaa nchi za Afrika ya Magharibi ikiwemo Nigeria na pia Wanigeria walipendezewa na uigizaji wake hivyo kushirikiana pamoja naye katika filamu kadha wa kadha. Filamu ambazo aliwahi kuigiza ni Dar to Lagos pamoja na She is My Sister .
1. HAVILIKI
2. NENO
3. ULINGO
4. RIZIKI akiwa na blandina chagula
5. SIKITIKO LANGU akiwa na Nuru nasoro, Vicent Kogosi, Ally chaowa na Mahsein Awadh
6. Dangerous desire akiwa na Nuru Nasoro, Blandina Chagula na vicent kigosi
7. SHE IS MY SISTER akiwa na Mercy Johnson, Nkiru Sylvanus na Yvonne Cherryl
8. PENINA akiwa na Mahsein Awadh, Emmanuel Myamba
9. CROSS MY SIN akiwa na Mercy Johnson, Suzan Lewis
10. A POINT OF NO RETURN akiwa na Wema Sepetu, Mahsein Awadh
11. THE LOST TWIN akiwa na Lucky Peter, Elizabeth Michael, Suzan Lewis
12. THE STOLEN WILL akiwa na Eizabeth Chijumba, Immaculate Aloyce
13. VILLAGE PASTORakiwa na Aunt Ezekiel
14. MAGIC HOUSEakiwa na Nargis Mohamed, Issa Mussa
15. OPRAHakiwa na Irene Uwoya na Vincent Kigosi
16. RED VALENTINE akiwa na Wema Sepetu, Jacquline Wolper
17. FAMILY TEARSakiwa na Elizabeth Michael, Wema Sepetu na Richard Bezednhout
18. THE MOVIE DIRECTOR akiwa na Mercy Johnson, Nkiru Sylvanus, Elizabeth Chijumba, Olufemi Ogdegbe
19. FAKE SMILEakiwa na Aunt Ezekiel, Yobnesh Yusuph
20. UNFORTUNATE LOVEakiwa na Lisa Jensen, Aunt Ezekiel, Elizabeth Michael
21. HERO OF THE CHURCHakiwa na Princess Sheila, Issa Musa, Juma Kilowoko
22. SATURDAY MORNINGakiwa na Shamsa Ford, Hemed Suleiman, Issa Musa
23. SHAUKU akiwa.......
24. CRAZY LOVEakiwa na Shamsa Ford, Hemed Suleiman, Issa Musa, Elizabeth Michael
25. JOHARI akiwa na Blandina Chagula na Vincent Kigosi)
26. Dar 2 LAGOSakiwa na Mercy Johnson, Nancy Okeke, Bimbo Akintola
27. MORE THAN PAINakiwa na Lisa Jensen na Rose Ndauka
28. YOUNG BILLIONAREakiwa na Aunty Ezekiel na Patcho Mwamba
29. "RIPPLE OF TEARS"akiwa na Elizabeth Michael
30. UNCLEJJ
31. THIS IS IT
32. OFF SIDEakiwa na Irene Uwoya, Vincent Kigosi NA Jacob Steven
33. PAYBACKakiwa na Yvonne Cherryl, Yusuph Mlela
34. BLACK SUNDAYakiwa na Yvonne Cherryl, Yusuph Mlela, Hemed Suleiman)
35. DECEPTIONakiwa na Rose Ndauka, Patcho Mwamba, Bakari Makuka
36. DEVIL KINGDOMakiwa na Ramsey Noah, Kajala Masanja
37. THE SHOCKakiwa na Shazy Sadry
38. MOSES akiwa na Suzan Lewis, Shazy Sadri, Ndumbangwe Misayo
39. BIG DADDY
40. BECAUSE OF YOUakiwa na Rose Ndauka na Grace Mapunda
41. NDOA YANGUakiwa na Jacquline Wolper na Patcho Mwamba
42. 2013LOVE AND POWER******akiwa na Irene Paul na Patcho Mwamba; filamu ya mwisho ya Kanumba ilimaliziwa ikiwa mpendwa wetu kashafariki