Uzi maalumu kwa mpendwa wetu Marehemu Steven Charles Kanumba

Jamaa lilikuwa hatari
Hiyo "love and power" na "Moses" ni kisanga.
 
Apumzike mahali pema, katangulia tu nasi tuko njiani kumfuata
 
Doh! Sikuwai kufikiria kuwa ana filamu Zaid ya arobaini kazi aliifanya apumzike
 
May His soul continue to rest in Peace [emoji120][emoji120]
 
Dude was a paedo. That's not mentioned enough.
Sikupingi,lakini kwa tamaduni zetu naona kama vile hiyo term haipo.Mimi nimeishi sehemu kanda ya ziwa huko,watu wanaoa watoto kihalali,binti miaka 14 anaenda kuanza clinic ya uzazi na hakuna kesi popote...Kuna kipindi nikakutana na binti ana miaka 17 alafu huyu ni mke mkubwa,wapo wawili.
 

Nakuelewa mkuu. Shida ni kuwa jamaa alimlea huyo binti kwa miaka kibao, kumbe anakula bana.
 


That doesn't change the truth that Kanumba was a Paedo. Alikiharibu kitoto cha watu kwa muda mrefu bila watu kujua.

Tukirudi kwenye hizo tamaduni zetu kama unavyoziita, hiyo pia sio haki kwa watoto wa kike. Child marriages hazikubaliki. Mara nyingi hawa watoto wanaolewa au wanazalishwa kinyume na matakwa yao. They don't have a choice. They don't have a voice. They don't have life. Hakuna mtu wa kuwasemea. Maisha yao yamefunikwa na uonevu kwa kisingizio cha tamaduni zetu. Wanatia huruma sana.
 
Page ya pili hii na sijaona picha yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…