KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,794
- 9,075
Dah Asalam,
Kwanza siku moja mimi nilianzisha ugomvi nikasahau kuwa asubuhi nilisaga pilipili nikawa nawapa kuku walikuwa na kideli
Sasa jamaa akanipiga ngumi ya jicho chozi likawa liinanilengalenga sinikajipangusa choze weeeee!!pilipili ikafanya yake nilipigwa hoi!
Nyingine kipindi kile sigara zilikuwa hadimu kulikuwa na sigara zinaitwa magwanji ndiyo kiwanda cha zanzibar kikatoa sigara inaitwa Zaraha Menthol na Zakuchuja King Size sas nilikuwa nikitumwa sigara na Baba namimi nakata nchi kama 5! Siku mja Baba akashtukia mchezo akaniagiza then baadae akamuagiza mdogo wangu alipofika home akaniita nakuniuliza sigara nilinunua wapi nikamwambia, akamuuliza mdogo wangu naye akasema akachukua sigara akalinganisha!!zangu zikaonekana fupi sana!sikuulizwa nilichezea vitasa sana ila ndo nikaendelea kuvuta!Lakini mwaka 1997 27,October nikaacha baada yakuvuta sigara kwa miaka 15 hivi!!
Visa vyangu hivyo hapo nikikumbuka nitawaongezea! Haya na wewe toa chakwako leo.